Ni semina iliyo mahususi kwa ajili ya watoto wa kike kuanzia miaka 12 mpaka 17, ni semina inayolenga kumuelimisha mtoto wa kike na kumjengea uwezo wa hali ya juu kufikia malengo yake. wasiliana nasi kwa namba 0752353114 ili uweze kujiandikisha.

Comments

Popular posts from this blog